Rapa Nicki Minaj amefikia wakati mgumu kwenye maisha yake kwenye
kuchagua kuwasiliana na hasimu wa mpenzi wake ambaye ni Drake au kukata
mawasiliano naye kabisa ili kumfurahisha Meek Mill ambaye ni boy friend
wake.
Kwa mujibu wa Hollywood Life Nicki Minaj amemchagua Meek Mill na amekata
mawasiliano kabisa na rapa Drake ambaye wapo pamoja kwenye lebel moja
ya Young Money.
Wawili hawana mawasiliano toka June 2015 beef kati ya Meek na Drake
lilipoanza. Pia mpaka sasa Minaj hajaonyesha kuwa anaikubali album ya
Drake ya “Views From the 6.” hata kama kaisikiliza.
Post a Comment