Loading...

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAKUTANA TENA, ZAMU HII HAWAJAPIGANA ILA HIKI KIKUBWA NDIO KIMETOKEA.

Kwa sasa Shilole na Nuh mziwanda washatemana na kila mtu ana mpenzi wake, huku Nuh akiwa kattutambulisha mrembo mpya na kukiwa na skendo kua Shilole katemana na Nedy. Basi kama mtakumbuka vizuri siku chache baada ya Shishi na Nuh kutemana walikutana katika Interview Clouds Tv na mwisho wa siku waliishia kupigana.

Imepita miezi mingi sasa wawili hawa hawajakutana tena mpaka juzi hapa walipokutana tena Clouds Fm katika kipindi cha XXL. Kizuri ni zamu hii hawajagombana ila kumetokea jambo moja lakushangaza zaidi pale walipokua wakiulizwa maswali na BDozen. Hebu cheki video hii kisha niambie ni nani muungwana zaidi kati ya Shilole na Nuh??

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top