Pamoja na hilo, amesema si sahihi kumfananisha na mtu mwingine kama aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Sokoine wala Rais wa Kwanza, Mwalimu Julius Nyerere.
Akizungumza katika mahojiano maalumu yaliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma, Malecela alisema, “Rais Magufuli katika mambo anayofanya, tusimlinganishe na mtu mwingine, hatutamtendea haki.”
Post a Comment