Loading...

Breaking News: ZITTO KABWE ATOA HABARI NZITO ASUBUHI HII NA HILI LITAKUWA PIGO KUBWA KWA WATANZANIA WENGI

Katika kila tshs 1000 utakayotoa kwenye ATM kuanzia tarehe 1 Julai, 2016 tshs 280 zitachukuliwa na TRA. Hivyo hivyo katika miamala ya M PESA, TIGO PESA nk. (ZITTO KABWE)

-----------------
Kama hili liko sahihi basi Magufuli utatuua masikini wa nchi hii. Huo urafiki wa Magufuli na masikini sisi
Watu wengi wamestuka sana kusikia kuwa kuanzia tarehe 01 Julai 2016, kila utakapotoa fedha kwenye ATM au huduma za fedha kwa mitandao ya simu, TRA itachukua asilimia 10 ya pesa hizo.

Ukweli ni kuwa kodi hiyo ya 10% kwenye muamala wa simu au kutoa pesa kwenye ATM itakatwa kwenye gharama ya kutolea au kutumia na wala siyo kwenye pesa zako
Mwana uchumi James Kavishe amefafanua kuwa 'kwa mfano ukitoa sh milioni moja gharama ya kutolea ni sh 7500,  basi serikali wanakata 10% kutoka katika hiyo sh 7500 (sh 750) na siyo kwenye sh milioni moja'.

Ngoja tuwafafanulie hapa ili watu wasije kukimbia na mabegi kutoa hela zao kwenye mabenki.

Kavishe J.

1 comments:

safi sana,this is effective tax collection tunaona kampuni nyingi sana ya kigeni zina operate bila effective tax collection by government , ifikie wakati sasa serikali ije na new policies itakayowezesha makampuni kama facebook, google,whatsp walipe kodi.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top