Yoyote anae support JPM kuminya Bunge La Tanzania atakuwa hajaenda shule Na Kama ameenda shule itakuwa hakusoma masomo ya history Au politics Maana Kama umesoma masomo hayo ungekuwa unajua kabisa serikali yoyote ya kidemokrasia inapoanza ku-silence vyama vya upinzani Kwa namna yoyote ile that country is going down the drain. Vyama vya upinzani Ni watanzania pia so Kama JPM anaweza kuwanyanyasa hao trust me eventually yoyote Yule ambae hatokubaliana Na JPM will meet the same fate! Trust me on that one.
Loading...
Home
» MAPENZI
» VIDEO
» Video: Mange Kimambi Anasema Uhuru wetu ni Muhimu Sana Kuliko Mabilioni Anayookoa Magufuli
Video: Mange Kimambi Anasema Uhuru wetu ni Muhimu Sana Kuliko Mabilioni Anayookoa Magufuli

Post a Comment