Loading...

Diamond Platnumz Atokuja Kusoma Kwenye Simu ya Mpenzi Wake Kamwe...Hii Masege Ndio ilimuumiza Sana


 
Kwenye Exclusive Interview ya OnAIRwithMillardAyo mwimbaji staa wa bongofleva Diamond Platnumz hatosahau siku alipopekua simu ya mpenzi wake na kukuta msg ambazo zilimfanya mpaka leo asithubutu kushika simu ya mpenzi wake yeyote, mtazame mwenyewe akiongea hapa chini..

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top