Loading...
Home
»
BUNGENI
»
NEWS
»
SIASA
»
BREAKING NEWS: BUNGENI DODOMA KIMENUKA TENA WABUNGE WAFANYIANA FUJO, ASKARI WA BUNGE WINGILIA KATI NA KUFANYA KAZI YAO BAADA KITI KUAMURU...HII NDIO HALI ILIYOPO DODOMA HIVI SASA
Naibu Spika wa Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson leo amewaamuru askari wa Bunge kumtoa Bungeni Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara baada ya mbunge huyo kutaka kumfanyia fujo mbunge wa Kasulu Vijijini Augustine Vuma Holle wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria
Post a Comment