Loading...

‘Wachawi wanaendelea kuroga’ Spika wa Bunge Job Ndugai

 
April 28 2016 katika kipindi cha maswali na majibu Waziri Mkuu Kassim Majaliwaalikuwa akijibu maswali kutoka kwa Wabunge, lakini katikati ya maswali vipaza sauti vilianza kusumbua na hadi kumlazimu Spika wa Bunge Job Ndugai kuahirisha shughuli hiyo kwa dakika 30.
Baadae wakati akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdallah Ulega SpikaNdugai akatania kwa kusema wachawi wanaendelea kuroga ili mjadala usiendelee..

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top