Loading...

Kama unataka kufanya collabo na Diamond Platnumz haya hapa ni ya kuyajua…

 
Kama utakuwa ni mpenzi wa kufuatilia stori za entertaiment basi hizi hapa zisikupite, millardayo.com imekurekodia stori  zote za April 27 2016  ambazo zimepata airtime kupitia 255 ya XXL na moja ya Stori ambayo imepata airtime ni hii ya Meneja waDiamond Platnumz kufunguka kuhusina utaratibu wa collabo na malipo kwa msanii wake……
>>>’Diamond ukifanya nae collabo kama utapitia kwake ni bure lakini ukipitia kwangu ni pesa unajua kuna ngoma nyingine msanii anaweza akaona mwenyewe kama nitafanya hii itaniweka mahali fulani ndio maana kuna ngoma nyingi Diamond Platinumz kafanya bure‘:-Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam SK
>>>’Kwa mfano ngoma ya Linex, Linnah zote hizo amefanya bure lakini pia wimbo wa Harmonizer sijamchaji hela japo kuwa Harmonizer yupo WCB na yeye anatakiwa alipe kwasababu ana mapato yake ambayo yanaingia katika lebel‘;-Meneja wa Diamond Platnumz Sallam SK

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top