Loading...

BREAKING NEWS: DIAMOND AFANYA KUFURU TENA KWA WATANZANIA, ATANGAZA NAFASI HIZI ZA KAZI KWA VIJANA...SASA DIAMOND AGEUKA TISHIO

Katika hali ya kuendelea kusaidia vijana wenzetu ambao bado wapo mtaani... Ndugu zangu kuna nafasi za kazi hapa @wcb_wasafi ...tunauhitaji wa:
1. Videographer mweye uwezo wa kushoot na kuedit...
2. Kijana Mwenye taaluma nzuri ya IT/ Socila Media Adminstrator Mwenye uwezo wa kuandika na Kuzungumza kingereza fasaha....
3. Secretary wa kike, Mwenye uwezo wa Kuandika Kiswahili na kingereza fasaha.... sio vingereza vya "baby i love you" au "Chilling home" mara "Less wig on fleek" sjui hapana, Fasaha.... wasiliana nasi kwa namba zetu +255757339215 au fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top