Loading...
Home
»
MATUKIO
»
NEWS
»
SIASA
»
Ndani ya CCM hakuna Demokrasia ya kukosoa viongozi, utakosolewa ukimaliza muda wako
Katika
Awamu Ya Nne Ya Rais Kikwete Hakuna Mwana Chama Yeyote Aliyejitokeza hadharani Kuikosoa Serikali Yake Zaidi Ya Kusifiwa Kua Mchapakazi,
Serikali Sikivu, Amejenga Bara Bara Nyingi, Uchumi Umepanda N.K Hakuna
Yeyote Aliyewahi Kujitokeza Kuonesha Mapungufu Yake.. Leo Hii Wale Wale
Waliokua Wakimsifia Wanatoa Negative Kwake, Kwann Wasingeyatoa
Madukuduku Yao Mapema? Kama Sio Unafiki? Magufuli Ajiandae Kukosolewa Na
Wanaomsifia Akimaliza Muda Wake.
Post a Comment