Loading...

BREAKING NEWS: PAPA FRANCIS AWAINUA TENA WAUMINI DUNIANI KOTE KWA KAULI YAKE JUU YA MAPENZI YA JINSIA MOJA

 
Papa Francis amewataka Wakatoliki Duniani kuwaomba radhi watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kwa madai kuwa si haki kuwahukumu na kuwachukulia kinyume kwani kanisa halina mamlaka ya kuwahukumu.
Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ndege wakati akirejea kutoka Armenia,Papa Francis kanisa pia linapswa kuwaomba makundi mengine ambayo yametengwa kama vile wanawake,masikini na watoto ambao wapo katika ajira hatarishi. Hata hivyo baadhi ya wakatoliki wenye msimamo mkali wamepinga hatua yake ya kuwazungumzia watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja.

1 comments:

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright 2025 KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top