Loading...

Muungwana Blog Yasherehekea Kufikisha Mwaka Mmoja Toka Kuanzishwa Kwake Rasmi

nf
Kushoto ni RASHID MALIK ambaye ni Mmiliki wa Blog ya MUUNGWANA BLOG akishirikiana na JOHN KIANDIKA ambaye ni mmiliki wa Blog ya UDAKU SPECIAL katika zoezi la kukata keki ya kuadhimisha mwaka mmoja tangu MUUNGWANA BLOG kuanzishwa rasmi..

MUUNGWANA BLOG imefikisha mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake rasim, pia Muungwana Blog inapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wadau wote wanaotumia Blog yetu ya MUUNGWANA BLOG.. Tunasema Asanteni sana kwa kuichagua MUUNGWANA BLOG.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top