Mdee aibua suala la Sh59bilioni toka Uganda bungeni
Msikilize hapa Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Ameikumbusha Serikali kuhusu kiunua mgongo cha wanajeshi waliopigana vita Uganda
Post a Comment