Loading...

BREAKING NEWS: HAPATOSHI TENA BAADA YA IGP "MANGU" KUSEMA KUWA HAJAPATA TAARIFA ZA RAIS MAGUFULI KUAGIZA TRAFIKI "DEOGRATIUS MBANGO" KUPANDISHWA CHEO...KWELI IGP HUYU KIBOKO ASEMA HATAMPANDISHA CHEO MPAKA AENDE KWENYE MAFUNZO KWANZA NA PIA....


Amesema hajapewa taarifa za Rais Magufuli kuagiza koplo Deogratius Mbango kupandishwa cheo baada ya kumdhibiti mke wa mmoja wa mawaziri wa serikali yake kwa kosa la kukiuka sheria za usalama barabarani.

" Bado hajapandishwa cheo kwa sababu sijapewa taarifa hizo na nitakapopewa taarifa atalazimika kwenda kwenye mafunzo kwanza, sisi jeshi la polisi tuna taratibu zetu" alisema IGP Mangu .

Chanzo: Nipashe

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top