Hamida Hassan
Ule msemo kwamba duniani ni wawiliwawili umeonekana kuwa na nguvu baada ya kuwepo kwa binti mrembo anayefanana sana na staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Ijumaa lilifanya jitihada za kutaka kumjua kwa undani lakini katika kuonesha si mtu wa kutaka umaarufu kivile, alipotafutwa alikataa kutoa ushirikiano akisema yeye hataki mambo ya magazeti.
Post a Comment