Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Mbunge wa jimbo
la Ukonga Mwita Waitara (CHADEMA) iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea
wa CCM, Jerry Slaa. Sababu za kutupilia mbali shauri hilo ni kile
kilichoelezwa kuwa ni kufunguliwa kwa kesi hiyo nje ya muda wake.
Toa maoni yako
Filed Under:
NEWS,
SIASA
Wednesday, June 15, 2016
Post a Comment