Loading...

VIDEO: Sentensi za Profesa Tibaijuka kuhusu Rais Magufuli kuanzisha Mahakama za Mafisadi

 
April 29 2016 Mbunge wa Muleba Kusini na aliyewahi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  Profesa Anna Tibaijuka amefanya Exclussive Interview naAYO TV na kuzungumzia hatua ya Rais John Pombe Magufuli kuanzisha Mahakama ya Mafisadi Nchini.
Profesa Tibaijuka anasema………>>>’Kwanza ukishaanzisha Mahakama unatafuta haki na ukweli, Watanzania wanahukumu kwa wepesiwepesi, sio kila mtuhumiwa ni mkosaji
>>>’Kwahiyo hili ni jambo zuri, sio kila mtuhumiwa ana kosa, kuna mitandao ya mafisadi inahakikisha kwamba haikamatwi na kuwapeleka wenzao mbele ndio inasema kafara, hivyo tunataka majipu yawe majipu haswa sio kukamua nyama tukamue majipu yenyewe
Yeye pia alikuwa na tuhuma za rushwa, anasemaje katika hili? …>>>’Ukweli ndio umeniweka hapa Bungeni, Wananchi wangu walielewa kuwa sio jambo nililohusika nalo, ikumbukwe mimi nilikuwa Waziri wa Ardhi na fedha zilitoka Benki kuu, sasa Waziri wa Ardhi na Benki kuu wapi na wapi?’
Ndio maana suala hili la kuwa na mahakama ni zuri sana, kwasababu kule Mahakamani ndio kuna nafasi ya kuujua ukweli
Unaweza kuipata full stori kwenye hii video hapa chini…
ILIKUPITA HII YA MBUNGE JOSEPH MBILINYI BUNGENI KUHUSU MIZIGO KUPUNGUA BANDARINI?

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top