Loading...

RAIS MSTAAFU JK ATIA FORA KWENYE SIKU YA USAFI AMESHIKA BONGE LA MFAGIO

 
Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania aliyemaliza muda wake Mh.Jakaya Kikwete amewaongoza wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Chalinze siku ya leo Disemba 9 ambayo ni maalumu kwaajili ya kufanya usafi kama ilivyo amriwa na Rais wa awamu ya Tano Dk.John Pombe Magufuli mara baada ya kufuta sherehe za Uhuru zilizokuwa zigharimu kiasi kikubwa cha fedha.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top