Loading...

BREAKING NEWZZ,WAZIRI WA JK AINGIA KATIKA VITA YA MANENO NA MGOMBEA URAIS WA MAREKANI, KISA HIKI HAPA.





WAZIRI wa zamani katika Serikali ya awamu ya nne aliyekuwa na mamlaka ya kusimamia utalii nchini,Lazaro Nyalandu amemvaa mgombea Urais wa Marekani anayewania nafasi hiyo ndani ya chama cha Republicana Donald Trump kwa kauli yake ya kutaka Rais wa sasa wa Marekani Barack awazuie waislamu kuingia katika nchi hiyo kwa kile alichodai kuwa ni magaidi.

Nyalandu kupitia ukurasa wake wa twitter jana alimshukia Trump kwa kumwambia haungani naye katika kauli hiyo ambayo haiwatendei haki waislamu wote duniani
 
There is no place in our world for people who hate others.I find remarks by @realDonaldTrump about Muslims entering the US troubling and sad

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top