Maafisa wa umoja wa mataifa wametoa
angalizo juu ya jitihada wanazozifanya kuwafikishia misaada wahitaji
nchini Syria kwamba hazifikii malengo . Mkuu wa kitengo cha misaada wa
umoja wa mataifa,Jan Egeland amesema kwamba mipango ya umoja wa mataifa
ni kuwafikia wahitaji milioni moja kwa mwezi wa tano pekee.
Lakini
mpaka sasa watu laki moja na sitini pekee ndiyo waliofikiwa, naye
mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Syria , Staffan de Mistura anasema
kwamba wananchi wako katika hatari kubwa ya njaa vingenevyo vikosi vya
serikali na makundi ya upinzani kuruhusu mashirika ya misaada ya
upatikanaji rahisi.
Loading...
Post a Comment