Maafisa wa
kukusanya kodi nchini Ufaransa wamevamia makao makuu ya kampuni ya
Marekani ya Google kama sehemu ya uchunguzi unaohusu ukwepaji kulipa
kodi.
Ripoti zinasema kuwa karibu maafisa 100 wa kukusanya kodi waliingia ofisi za Google kati kati mwa Paris mapema asubuhi.Google inadaiwa kima cha dola bilioni 1.7 na serikali ya ufaransa za kodi.
Post a Comment