Loading...
Home
»
BUNGENI
»
MATUKIO
»
NEWS
»
SIASA
»
BREAKING NEWS: BUNGENI KUMENOGA SASA MBUNGE WA NKASI "ALLY KEISSY" APASUA JIPU LINGINE TENA BILA WOGA AKIWA ANACHANGIA HOJA KWENYE WIZARA YA NISHATI
Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini Ally Keissy Akichangia Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2016/17. pamoja na mambo mengine ametaka JKT watumike kupita nyumba kwa nyumba kuwasaka wezi wa umeme hasa watu wa masaki wanaiba sana umeme kwani mashine za kusaga huwa zinatumika sana usiku na ameeleza kuwa watu wa mjini hasa Dar Es Salaam ndio wezi wakubwa wa umeme Tanzania
Post a Comment