Loading...

Mtu Mmoja Apigwa na Radi Katika Mazingira ya Utatanishi na Kufa Hapo Hapo

  
WATU WAKIWA MSIBANI
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Faraji Said Champunga (45), mkazi wa kijiji cha Kasisi B, amefariki duni kwa kupigwa na radi huku wawili wakijeruhiwa, katika mazingira ya kutatanisha kutokana na kutokuwepo na mvua, huku katika mazingira hayo hayo, katika kijiji cha Ilolangulu kusini kondoo wawili wakipoteza maisha kwa kupigwa na radi hiyohiyo, tukio lililotokea katika wilaya ya Uyui mkoani Tabora.
source: Itv

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top