Mwenye ndugu jamaa au rafiki anaekaa Gongo La Mboto na anafanya kazi
ubungo au alikuwa akielekea ubungo alfajiri ya leo... amtafute huyo
ndugu jamaa au rafiki yake kujua kama ni mzima au laa...
maana kuna ajali imetokea matumbi ikihusisha daladala(DCM) la
G/Mboto-Ubungo na Lori la Mizigo pamoja na Lori lililokuwa limebeba
ng’ombe
kweny DCM waliopona ni watu wasiofika watano... yale malori mengine
hajatoka mtu hata mmoja... mbaya ni kwamba DCM lilikuwa limejaza abiria
mpaka wengine wakasimama
Ajari ni mbaya sana mpaka nimeshindwa kupiga picha maana DCM lilivyofanywa si rahisi kulitazama kwa mda mrefu😰
Ajali imetokea pale kabla hujafika Tabata Matumbi Pale Darajani
R.I.P Wote Waliofariki
Post a Comment