Loading...

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI ATIMUA MKURUGENZI MWINGINE MUDA HUU NA KUWEKA MWINGINE, HAKUNA ANAYEAMINI KILICHOTOKEA HATA HUYU NAYE ATIMULIWA!!!!!

 
 Mkurugenzi wa Habari Maelezo, Assah Mwambene
ASSAH Mwambene, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo ameondolewa kwenye nafasi hiyo na kwamba, atapangiwa kazi nyingine, anaandika Faki Sosi.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Prof. Elisante Ole Gabriel, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo amemteua Zamaradi Kawawa kukaimu nafasi hiyo mpaka utapofanyika uteuzi mpya.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top