Nisha aliandika haya; kwenye hicha hii
“Mmoja kati ya hawa amejaa kwenye galary ya simu yangu na moyoni
mwangu,otea A B C AU D? enhe. hivi sasa siweki hadharani maana nna phd
ya kunyakuliwa.sa hivi ni kumpost kwa mwendo kasiii yaani wengi wengi simtaji ng’ooo.
RAMADHAN QAREEM...sasa andika matusi ufungulie.
nimesubiri siku hii muda jmn dah watu wakiwa wamefungwa makufuli midomoni na mwezi(waislam/waikristo wote wanauheshimu”
Baada ya ujumbe huo wa Nisha ndipo Wolper alitoa maoni yake kwenye picha hiyo kwa kuandika hivi
Kisha Nisha Akajibu;
Ok guys kuna picture niliweka saa 4 asbh leo,za wasanii kadhaa wa music ambao niliweka na caption yangu kwa furaha zangu tu.
ila baada ya lisaa limoja ikaja coment hiyo ya msanii mwenzangu sikudhungumza chchte,i was like ok nikacheka tu.
then zikaja comments nyingi za kumuuliza kulikoni kuandika hivyo.
masaa mawili yaliyopita ukaandikwa waraka mzito mrefu unaosema. “Nisha
aandaa show mtwara ya kumnasa Harmonize ila Wolper akagundua hilo
akaamua kuongozana naye Harmo hadi huko kukwepa hilo (NA MANENO MENGI YA
ZIADA YA UONGO.
ikimbukwe show imeshapita km week na haya maneno yamezuka leo baada ya hiyo coment.
guyz tuje kwenye point KWANZA KABISA SIJAMLENGA YYTE KWA NILIYEANDIKA
NILIANDIKA KWA MAPENZI YNG KM NILIVYOANDIKA JANA STATUS YA VIDONDA VYA
TUMBO,TENA HADI WADOGO ZNG NIKAWAAMBIA TAZAMA NACHEZA NA AKILI ZA WATU.
NIMESHANGAA HABARI ZA UONGO KUSAMBAZWA ZIDI YANGU TENA BAADA YA COMENT HII KWANGU.
POINT YA PILI KWA YYTE ANAYEULIZA NIMEANZA LINI UPROMOTA guyz mimi ni
mfanyabiashara na kwenye pesa nipo,show ya MTWARA imenigharimu si chini
ya ml.18 unadhani naweza poteza pesa zote hizo kisa mapenzi?sina ujinga
huo wa akili.
NA SIJAWAHI KUMTAKA NA SITOTARAJI KWANZA SIJAZOEA KUPITA ANAPOPITA MTU HASWA NNAYEMJUA.
TATU nimeandaa show ingine ramadhan ya 13 DAR-ES-SALAAM inahusu ramadhan.
na nna SHOW SKUKUU YA IDD MOSS NA IDD PILI MIKOANI ZOTE MM NDO MUANDAAJI
NA KUNA WASANII WAKUBWA TU JE HAO PIA NATAKA KUWANASA? HE.
IFIKE HATUA TUSIWE TUNABALANCE MTU MMOJA NA PIA SIO KILA ASIYEDHUNGUMZA
NI MNYONGE SANA ILA KUNA WKT DRAMA HAZINA MUDA INABIDI UPIGE KAZI MAANA
MAISHA YANAENDA MBELE HAYARUDI NYUMA.
NB:SHUKRAN KWA WEWE UNAYESAMBAZA UJUMBE HUU WA UONGO SINA CHA KUKWAMBIA
NIMEPITIA MENGI MAKUBWA SO HILI KM NACHEZA MDAKO. (mwenye uelewa kaelewa
chanzo cha story inayosambaa imetoka wapi,nimeandika hapa kwa manufaa
ya mashabiki zangu wote watakaobahatika kusoma habari hizo za uongo.
Post a Comment