Loading...

BREAKING NEWS: WAISLAM KIBOKO MWEZI MTUKUFU WATENGUA KANUNUNI ZA BUNGE NA HII NDIO RATIBA MPYA ZA VIKAO VYA BUNGE

 Wabunge wa Bunge la Tanzania wakiwa kwenye vikao
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua kanuni kanuni ya 153 (1) kutokana na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, anaandika Hamisi Mguta.
Hayo yameelezwa  bungeni leo na Jenister Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, kazi, Ajira na Walemavu.
Amesema, utenguzi huo umefanyika ili kuwezesha Bunge kuendelea na vikao vyake bila kuingiliwa na shughuli za kuabudu kwa wabunge ambao ni Waumini wa Dini ya Kiislam.
Kwa kawaida, bunge linajadiliwa hadi saa saba mchana na kuahiriswha hadi saa 10 jioni, huendelea kukaa hadi saa 2 usiku kisha huahirishwa hadi siku nyingine lakini sasa litaahirishwa kila siku saa 10 jioni mpaka mwezi utakapokwisha.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright KAZI YANGU | Designed By AFROPIXELS MEDIA CO. LTD
Back To Top