Kundi la wanamgambo nchini Somalia,
al-Shabab, wanasema wamewaua watu watatu kwa kuwapiga risasi na
kumchinja shingo mwingine, baada ya kupatikana na hatia ya kuwa majasusi
wa mashirika ya ujasusi ya Kenya na Marekani.Mwingine aliyepigwa risasi anadaiwa kuwa alisaidia Wamarekani kumuua Adnan Garaar, anayeaminika kuongoza shambulio la kigaidi katika duka la Westgate nchini Kenya mwaka wa 2013.



Post a Comment